Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi

Maktaba ya Picha

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue (kushoto) na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania CCT, Mchungaji Dk. Leornard Mtaita (kulia) wakifuatilia kwa makini nasaha za kuwa na umoja miongoni mwa jamii ya Kitanzania zilizokuwa zikitolewa na Askofu Mstaafu Methusela Nyagwaswa wakati wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Jumuiya ya Kikristo Tanzania uliofanyika katika kituo cha Mikutano cha Askofu Stephano R. Moshi, Dodoma, 3 Julai, 2014.
matukio