Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi

Maktaba ya Picha

Chief Secretary met Oman Ambassador to Tanzania
Chief Secretary met British Ambassador to Tanzania
Chief Secretary announce that natural gas priority would be meeting domestic consumption
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue, akiingia katika jengo la ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Singida kuanza ziara yake mkoani humo, tarehe 27 Juni, 2014
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue akiwasili katika kituo cha uhifadhi wa Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa kilichopo Mjini Dodoma mara baada ya kuwasili kituoni hapo, Katibu Mkuu Kiongozi alitembelea kituo tarehe 30 Juni, 2014 kujionea shughuli zinazofanyika hapo.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue (kushoto) na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania CCT, Mchungaji Dk. Leornard Mtaita (kulia) wakifuatilia kwa makini nasaha za kuwa na umoja miongoni mwa jamii ya Kitanzania zilizokuwa zikitolewa na Askofu Mstaafu Methusela Nyagwaswa wakati wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Jumuiya ya Kikristo Tanzania uliofanyika katika kituo cha Mikutano cha Askofu Stephano R. Moshi, Dodoma, 3 Julai, 2014.