Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi

Habari

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue (wa pili kulia ) akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA), Ndg. Hiiti Sillo (kulia) wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dares Salaam tarehe 23 Juni, 2014. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Ndg. George Yambesi.


-