Habari
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue (kushoto) akitia saini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye Ukumbi wa Mlimani City kwa ajili ya kufungua maadhimisho ya 13 ya mwaka 2015 ya siku ya wahandisi. Kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mhandisi Joseph Nyamuhanda. 3 Septemba, 2015
-