Habari
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi, Hussein A. Kattanga, atembelea Makao Makuu ya Mamlaka Mapato Tanzania (TRA) Dar es Salaam 23/11/2021
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi, Hussein A. Kattanga, atembelea Makao Makuu ya Mamlaka Mapato Tanzania (TRA) Dar es Salaam, leo tarehe 23/11/2021 na kuongoza kikao kazi na menejimenti ya mamlaka hiyo pamoja na kutembelea Idara ya forodha na kujionea jinsi mfumo wa kuingiza na kuondoa shehena bandarini (TANCIS) unavyofanya kazi.