Habari
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi, Hussein A. Kattanga afanya ziara ya kikazi bandarini Dar es Salaam 03 Nov, 2021
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein A. Kattanga leo tarehe 3/11/2021 amefanya ziara ya kikazi kwa kumetembelea Ofisi za Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania pamoja na kukagua maeneo mbalimbali ya Bandari ya Dar es Salaam.