Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi

Habari

Balozi Sefue akitoa neno la shukrani kabla ya kutembelea mabanda leo tarehe 22 Juni, 2015 katika viwanja vya Mnazi Mmoja. Kushoto ni Katibu Sekretarieti ya Ajira Bw. Xavier Daudi, Kaimu Katibu Mkuu Utumishi Bw. HAB Mkwizu, Katibu wa Bodi Bi. Mwakahesya na Bw. Mick Kiliba Mwenyekiti wa Kamati ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.


-