Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 21-08-2020 amemteua Mhe. Balozi Mhandisi, John William Herbert Kijazi kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo amemteua Mhe. Balozi Mhandisi, John William Herbert Kijazi kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).

Mhe. Balozi Kijazi ambaye ni Katibu Mkuu Kiongozi anachukua nafasi ya aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Hayati Benjamin William Mkapa.

Uteuzi huu unaanza leo tarehe 21 Agosti, 2020.