Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi

Habari

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue (kushoto) akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Biashara wa Ireland, Bw. Niall Burgess (kulia) wakati Katibu Mkuu huyo alipomtembelea ofisini kwake Iklu, Dar es Salaam. 8 Septemba, 2014


-