• English
  • Kiswahili
  • Maswali yanayoulizwa Sana
Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi

  • Mwanzo
  • Katibu Mkuu Kiongozi
    • Kuhusu Katibu Mkuu Kiongozi
    • Majukumu ya Katibu Mkuu Kiongozi
  • Makatibu Wakuu Kiongozi Waliopita
  • Uongozi
    • Baraza la Mawaziri
    • Naibu Mawaziri
  • Kituo cha Habari
    • Matukio ya Picha
    • Matukio katika Video
    • Habari
  • Machapisho
    • NACSAP
    • Taarifa Kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • NASCAP V
  • Wasiliana Nasi
  • Maswali yanayoulizwa Sana
Dkt. Moses Mpogole Kusiluka
Dkt. Moses Mpogole Kusiluka
Katibu Mkuu Kiongozi
Wasifu
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Moses M. Kusiluka akisisitiza jambo wakati wa akiongoza Kikao cha 43 cha Kamati ya Utendaji ya Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. 15 Mei 2023

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Baadhi ya Wajumbe wa Kamati Tendaji ya Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) wakifuatilia mijadala mbalimbali katika Kikao cha 43 cha Kamati hiyo kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. 15 Mei 2023

Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses M. Kusiluka (kushoto) akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Kamati ya Maandalizi ya sherehe ya uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Rais Ikulu Chamwino – Dodoma, kabla ya kukagua maendeleo ya maandalizi hayo. Jengo hilo linategemewa kuzinduliwa na Mh. Rais Dkt. Samia S. Hassan tarehe 20 Mei, 2023. 10 Mei, 2023

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu, Mululi Majura Mahendeka (aliyesimama), akitoa maelezo mafupi kuhusu maendeleo ya maandalizi ya sherehe ya uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Rais Ikulu Chamwino – Dodoma. 10 Mei, 2023

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Baadhi ya Maofisa Waandamizi wa Ofisi ya Rais Ikulu pamoja na viongozi wa Kamati ya Maandalizi ya sherehe ya uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Rais Ikulu Chamwino – Dodoma, wakimsikiliza Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses M. Kusiluka (hayupo pichani) mara baada ya kukagua maeneo mbalimbali ya jengo la ofisi hizo. 10 Mei, 2023

Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhandisi Zena A. Said (kulia) akiongoza kikao cha pamoja cha Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya kujadili hoja za Muungano. Kushoto ni Dk. Moses Kusiluka ambaye ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu. 5 Disemba, 2022

Previous Next

Habari Mpya

16th May 2023
Katibu Mkuu Kiongozi aziagiza Taasisi za Udhibiti kubadilika.
12th May 2023
Katibu Mkuu kiongozi akagua maandalizi ya sherehe ya uzinduzi wa jengo...
11th Jan 2023
Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses M. Kusiluka aongoza kikao kazi cha Mak...
Soma Habari zaidi

Taarifa Kwa vyombo vya habari

Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amteua Dkt. Moses Mpogole Kusiluka kuwa Kati...
03rd Jan 2023
Katibu Mkuu Kiongozi na Mkuu wa Chuo cha Ulinzi cha Taifa wamemtembelea Rais mst...
06th Sep 2022
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein A. Kattanga leo tarehe 3/11/2021 amefanya z...
04th Nov 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tareh...
26th Feb 2021
Angalia Zaidi

Hotuba

  • Hotuba ya Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Hussein A. Kattanga katika semina ya kujadili...
    2022-09-16

  • Hotuba ya Katibu Mkuu Kiongozi katika Bonanza la SHIMIWI 20 Agosti, 2022 uwanja wa Jamhuri...
    2022-08-22

  • Hotuba ya Katibu Mkuu Kiongozi ya ufunguzi wa Mkutano wa Faragha wa Makatibu Wakuu, Makati...
    2022-07-14

  • Hotuba ya Katibu Mkuu Kiongozi ya kufunga Mkutano wa Faragha wa Makatibu Wakuu, Makatibu T...
    2022-07-14

Angalia Zaidi
Wasiliana Nasi

Katibu Mkuu Kiongozi, Ofisi ya Rais, IKULU,

S.L.P. 1102, 1 Barabara ya Julius Nyerere, Chamwino

cs@gov.go.tz

026-2961500/1

Nukushi: 026-2961502

Tovuti Mashuhuri
  • Bunge la Tanzania

  • OR-UTUMISHI

  • Wizara ya Habari

  • Idara ya Uhamiaji

  • Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA)

  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu

  • Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC)

Kurasa za Karibu
  • Maadili na Malalamiko

  • Wananchi Portal

  • Watumishi Portal

  • Gazeti la Serikali

  • Blogu ya Ikulu

Vivutio Vya Nchi
  • Hifadhi ya Taifa ya Serengeti

  • Hifadhi ya Taifa ya Tarangire

  • Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Saanane

  • Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro

  • Hifadhi ya Taifa Burigi-Chato

  • Hifadhi ya Taifa ya Mikumi

  • Hifadhi za Taifa Tanzania

  • Kanusho
  • Vigezo na Masharti
  • Hakimiliki
  • Sera ya Faragha
  • Ramani ya Tovuti
  • Wasiliana Nasi
  • Ofisi Mtandao
  • e-Viballi
  • Maswali yanayoulizwa Sana
  • Imesanifiwa na Imetengenezwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao Huendeshwa na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi
    © 2023 Katibu Mkuu Kiongozi, Haki zote zimehifadhiwa.