Balozi Sefue (mwenye tai nyekundu) akifuatilia mada iliyokuwa ikiwasilishwa na Bi. Doe Meryer kutoka Ghana National Petroleum Company Ghana. Wengine katika picha kutoka kushoto ni Bw. Michael Mwanda, Mwenyekiti - Bodi ya Wakurugenzi (TPDC), Profesa Joseph Semboja Mkurugenzi Mtendaji wa Uongozi Institute na Bi. Valerie Marcel kutoka Chatham House, Uingereza. 02 Julai, 2015.


Jul 02, 2015

-