Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Mhe. Balozi Mhandisi, John William Herbert Kijazi kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).