Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mha. John W.H. Kijazi, leo tarehe 14 Machi, 2017, amekutana kwa mazungumzo na wadau wa sukari nchini. Wadau hao ni kutoka katika Bodi ya Sukari Tanzania; Chama cha Wazalisha Sukari Tanzania; na Chama cha Wakulima wa Miwa Tanzania.


Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mha. John W.H. Kijazi, leo tarehe 14 Machi, 2017, amekutana kwa mazungumzo na wadau wa sukari nchini.